Ezekieli 20:34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 34 Nami nitawatoa kati ya vikundi vya watu, nami nitawakusanya pamoja kutoka katika nchi ambako mmetawanywa kwa mkono wenye nguvu na kwa mkono ulionyooshwa na kwa ghadhabu iliyomwagwa.+
34 Nami nitawatoa kati ya vikundi vya watu, nami nitawakusanya pamoja kutoka katika nchi ambako mmetawanywa kwa mkono wenye nguvu na kwa mkono ulionyooshwa na kwa ghadhabu iliyomwagwa.+