-
Danieli 4:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 “Ndipo wakati huohuo uelewaji wangu ukaanza kurudi kwangu, nayo heshima ya ufalme wangu, utukufu wangu wa enzi na fahari zikaanza kurudi kwangu;+ nao maofisa wangu wakuu wa kifalme na wakuu wangu wakaanza kunitafuta kwa hamu, nami nikarudishwa tena juu ya ufalme wangu mwenyewe, nikaongezewa ukuu usio wa kawaida.+
-