-
Danieli 11:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Na wale wanaokula vyakula vyake vitamu watasababisha kuvunjika kwake.
“Na jeshi lake litafagiliwa mbali kwa mafuriko, na wengi wataanguka wakiwa wameuawa.
-