-
Mathayo 6:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Waangalieni kwa mkazo ndege wa mbinguni, kwa sababu hawapandi mbegu au kuvuna au kukusanya ghalani; na bado Baba yenu wa kimbingu huwalisha wao. Je, nyinyi si bora kuliko wao?
-