-
Mathayo 6:30Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
30 Basi, ikiwa Mungu huvisha hivyo mimea ya shambani, ambayo ipo hapa leo na kesho hutupwa ndani ya joko, je, si afadhali zaidi sana yeye atawavisha nyinyi, nyinyi wenye imani kidogo?
-