-
Mathayo 12:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Kwenye majira hayo Yesu alienda akipita katikati ya mashamba ya nafaka siku ya sabato. Wanafunzi wake wakaona njaa na kuanza kukwanyua masuke ya nafaka na kula.
-