-
Mathayo 21:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Na Yesu akaingia katika hekalu na kuwafukuza nje wale wote waliokuwa wakiuza na kununua katika hekalu, na kuzipindua meza za wabadili-fedha na mabenchi ya hao waliokuwa wakiuza njiwa.
-