-
Mathayo 23:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Kazi zote wazifanyazo wao huzifanya ili watazamwe na watu; kwa maana wao hupanua vibweta [vyenye maandiko] ambavyo wao huvaa kama ulinzi, na kuongeza ukubwa wa pindo zenye matamvua za mavazi yao.
-