-
Mathayo 23:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 “Ole wenu nyinyi, waandishi na Mafarisayo, wanafiki! kwa sababu nyinyi huitoa sehemu ya kumi ya mnanaa na dili na jira, lakini mmepuuza mambo yenye uzito zaidi ya Sheria, yaani, haki na rehema na uaminifu. Ilikuwa lazima mambo haya kuyafanya, na bado kutopuuza yale mambo mengine.
-