-
Mathayo 26:31Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
31 Ndipo Yesu akawaambia: “Nyinyi nyote mtakwazika kuhusiana nami usiku huu, kwa maana imeandikwa, ‘Hakika nitampiga mchungaji, nao kondoo wa kundi watatawanywa huku na huku.’
-