-
Marko 2:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Jinsi alivyoingia ndani ya nyumba ya Mungu, katika lile simulizi juu ya Abiathari kuhani mkuu, akala mikate ya toleo, ambayo hairuhusiki kisheria mtu yeyote kula ila makuhani, naye akawapa wale watu waliokuwa pamoja naye baadhi yayo pia?”
-