-
Marko 4:38Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
38 Lakini yeye alikuwa katika tezi, akiwa amelala usingizi juu ya mto. Kwa hiyo wakamwamsha na kumwambia: “Mwalimu, je, wewe hujali kwamba tuko karibu kuharibiwa?”
-