-
Marko 8:34Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
34 Basi akaita umati kwake pamoja na wanafunzi wake na kuwaambia: “Ikiwa yeyote ataka kunifuata, na ajikane mwenyewe na kuchukua mti wake wa mateso na kunifuata kwa kuendelea.
-