-
Marko 9:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Walipokuwa wakiteremka kutoka kwenye ule mlima, yeye aliwaagiza waziwazi kutosimulia yeyote kile walichoona, mpaka baada ya Mwana wa binadamu awe amefufuliwa kutoka kwa wafu.
-