-
Marko 10:46Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
46 Nao wakaja kuingia Yeriko. Lakini yeye na wanafunzi wake na umati mkubwa walikuwa wakienda kutoka Yeriko, Bartimayo (mwana wa Timayo), kipofu aliye mwombaji, alikuwa ameketi kando ya barabara.
-