-
Marko 12:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 Sasa mmoja wa waandishi aliyekuwa amekuja na kuwasikia wakibishana, akijua kwamba alikuwa amewajibu kwa njia bora, akamuuliza: “Ni amri ipi iliyo ya kwanza kati ya zote?”
-