-
Marko 13:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 “Basi kutokana na mtini jifunzeni hiki kielezi: Mara tu tawi lao changa likuapo kuwa jororo na kutoa majani yalo, mwajua kwamba kiangazi kiko karibu.
-