-
Luka 4:39Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
39 Kwa hiyo akasimama kando yake akaikemea homa, nayo ikamwacha. Akainuka mara hiyo akaanza kuwahudumia.
-