-
Luka 4:42Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
42 Hata hivyo, kulipokuwa mchana, akatoka kwenda na kuendelea mbele hadi mahali pa upweke. Lakini umati ukaanza kumtafuta huku na huku na kuja hadi alikokuwa, nao ukajaribu kumzuia asiende zake kutoka kwao.
-