-
Luka 5:29Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
29 Pia, Lawi akamwandalia karamu kubwa ya makaribisho katika nyumba yake; na kulikuwa na umati mkubwa wa wakusanya-kodi na wengine waliokuwa pamoja nao wakiegama kwenye mlo.
-