-
Luka 13:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Ndipo akaendelea kusema kielezi hiki: “Mtu fulani alikuwa na mtini umepandwa katika shamba lake la mizabibu, naye akaja akitafuta matunda juu yao, lakini hakupata yoyote.
-