-
Luka 15:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 “Sasa mwana wake mwenye umri mkubwa zaidi alikuwa katika shamba; naye alipokuja akaikaribia nyumba alisikia utumbuizo wa kimuziki na uchezaji-dansi.
-