-
Yohana 7:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Na kulikuwako maongezi mengi ya kunong’oneza juu yake miongoni mwa umati. Baadhi yao wakawa wakisema: “Yeye ni mtu mwema.” Wengine wakawa wakisema: “Sivyo, bali yeye huongoza umati vibaya.”
-