-
Yohana 8:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 Kwa hiyo Yesu akasema: “Mara mkiisha kumwinua Mwana wa binadamu, ndipo mtakapojua kwamba mimi ndiye, na kwamba sifanyi jambo lolote kwa uanzisho wangu mwenyewe; bali kama vile Baba alivyonifundisha nasema mambo haya.
-