-
Yohana 8:40Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
40 Lakini sasa mnatafuta sana kuniua, mtu ambaye amewaambia kweli ambayo nilisikia kutoka kwa Mungu. Abrahamu hakufanya hili.
-