-
Yohana 9:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Basi baadhi ya Mafarisayo wakaanza kusema: “Huyu si mtu atokaye kwa Mungu, kwa sababu haishiki Sabato.” Wengine wakaanza kusema: “Mtu aliye mtenda-dhambi awezaje kufanya ishara za namna hiyo?” Basi kukawa na mgawanyiko miongoni mwao.
-