-
Yohana 13:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Sasa, kwa sababu alijua kabla ya msherehekeo wa sikukuu ya kupitwa kwamba saa yake ilikuwa imekuja ya kuhama kutoka katika ulimwengu huu kwenda kwa Baba, Yesu, akiisha kuwa amependa walio wake mwenyewe waliokuwa ulimwenguni, aliwapenda hadi mwisho.
-