-
Yohana 13:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Mimi siongei juu ya nyinyi nyote; mimi nawajua wale ambao nimewachagua. Lakini ni ili Andiko lipate kutimizwa, ‘Yeye aliyekuwa na kawaida ya kujilisha mkate wangu ameinua kisigino chake dhidi yangu.’
-