-
Yohana 16:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Hata hivyo, mimi ninawaambia nyinyi kweli, ni kwa manufaa yenu mimi ninaenda zangu. Kwa maana nisipoenda zangu, msaidiaji hatakuja kwenu kwa vyovyote; bali nikishika njia kwenda zangu, hakika nitamtuma yeye kwenu.
-