-
Yohana 16:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Kwa kweli kabisa mimi nawaambia, Nyinyi mtatoa machozi na sauti za kuomboleza, bali ulimwengu utashangilia; nyinyi mtatiwa kihoro, lakini kihoro chenu kitageuzwa kiwe shangwe.
-