-
Yohana 18:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Akiisha kusema mambo haya, Yesu akatoka kwenda pamoja na wanafunzi wake ng’ambo ya mvo wa majira ya baridi kali wa Kidroni hadi mahali palipokuwa na bustani, na yeye na wanafunzi wake wakaingia ndani yayo.
-