-
Yohana 18:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Baada ya yeye kusema mambo hayo, mmoja wa maofisa aliyekuwa amesimama kando akampiga Yesu kofi usoni na kusema: “Je, hiyo ndiyo njia ambayo wamjibu kuhani mkuu?”
-