Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 50:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Mgongo wangu niliwapa washambuliaji, na mashavu+ yangu nikawapa wale wenye kung’oa nywele. Uso wangu sikuuficha kutoka kwa mambo yenye kufedhehesha na mate.+

  • Mathayo 5:39
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 39 Hata hivyo, mimi ninawaambia ninyi: Msimpinge yeye aliye mwovu; bali yeyote anayekupiga kofi kwenye shavu+ lako la kuume, mgeuzie lile lingine pia.

  • Yohana 19:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 nao wakaanza kumjia na kusema: “Siku njema, ewe Mfalme wa Wayahudi!” Pia wakawa wakimpiga makofi usoni.+

  • Matendo 23:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Ndipo kuhani mkuu Anania akawaagiza wale waliosimama kando yake wampige+ kinywani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki