-
Yohana 20:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Yesu akamwambia: “Acha kuniambatia. Kwa maana bado sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini shika njia yako uende kwa ndugu zangu nawe uwaambie, ‘Mimi ninapaa kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu na kwa Mungu wangu na Mungu wenu.’”
-