-
Yohana 20:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Halafu akamwambia Tomasi: “Weka kidole chako hapa, uone mikono yangu, na chukua mkono wako utie ndani ya ubavu wangu, na koma kuwa asiyeamini bali uwe mwenye kuamini.”
-