-
Matendo 11:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Kwa sababu hiyo wale waliokuwa wametawanywa na dhiki iliyotokea kwa sababu ya Stefano wakaenda wakipita hadi Foinike na Saiprasi na Antiokia, lakini wakiwa hawasemi lile neno kwa yeyote ila kwa Wayahudi tu.
-