-
Waroma 4:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Kwa upande mwingine, kwa mtu asiyefanya kazi bali awekaye imani katika yeye amtangazaye kuwa mwadilifu yule asiyemwogopa Mungu, imani yake yahesabiwa kuwa uadilifu.
-