-
Waroma 4:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Naye alipokea ishara, yaani, tohara, kuwa muhuri wa uadilifu kwa imani aliyokuwa nayo alipokuwa katika hali yake ya kutotahiriwa, ili yeye apate kuwa baba ya wote wale walio na imani wakiwa katika kutotahiriwa, kusudi wahesabiwe uadilifu;
-