-
Waroma 11:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Kwa maana ikiwa wewe ulikatwa kutoka kwenye mti wa zeituni ulio wa mwitu kwa asili na kupandikizwa kinyume cha asili katika mti wa zeituni wa bustanini, si afadhali zaidi kwamba hawa walio wa asili watapandikizwa kuingia katika mti wao wenyewe wa zeituni!
-