-
Waroma 15:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Sasa mimi mwenyewe pia nashawishwa juu yenu, ndugu zangu, kwamba nyinyi wenyewe mmejaa wema pia, kwa kuwa mmejawa na ujuzi wote, na kwamba mwaweza pia kuonyana kwa upole.
-