-
Waroma 15:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 wakati wowote ule nikiwa nimeshika njia yangu kwenda Hispania, natumaini, zaidi ya yote, niwapo safarini kuja huko, nipate kuwatazama nyinyi kidogo na kusindikizwa nanyi sehemu fulani ya njia ya kuja huko kwanza mimi nikiwa nimekwisha kutosheka na ushirika wenu kwa kadiri fulani.
-