-
1 Wakorintho 2:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Sasa twasema hekima miongoni mwa wale walio wakomavu, lakini si hekima ya mfumo huu wa mambo wala ile ya watawala wa mfumo huu wa mambo, ambao watapaswa kuwa si kitu.
-