-
1 Wakorintho 4:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Kwa maana ni nani akufanyaye utofautiane na mwingine? Kwa kweli, ni nini ulicho nacho ambacho hukupokea? Basi, ikiwa kwa kweli ulikipokea, kwa nini wajisifu kama kwamba hukukipokea?
-