-
1 Wakorintho 6:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Je, kuna yeyote kati yenu aliye na kesi dhidi ya mwingine athubutu kwenda mahakamani mbele ya watu wasio waadilifu, na si mbele ya watakatifu?
-