-
1 Wakorintho 9:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Basi, thawabu yangu ni nini? Kwamba ninapokuwa nikitangaza habari njema nipate kuitoa habari njema bila gharama, kwa madhumuni ya kwamba nisipate kutumia vibaya mamlaka yangu katika habari njema.
-