-
1 Wakorintho 11:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Hakika mna nyumba za kulia na kunywea, sivyo? Au je, mwalidharau kutaniko la Mungu na kufanya wale wasio na kitu waaibike? Nitawaambia nyinyi nini? Je, nitawasifu nyinyi? Katika hilo siwasifu nyinyi.
-