-
2 Wakorintho 11:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Kwa kweli, nyinyi mwachukuliana na yeyote yule awafanyaye watumwa, yeyote yule anyafuaye kile mlicho nacho, yeyote yule anyakuaye kile mlicho nacho, yeyote yule ajikwezaye mwenyewe juu yenu, yeyote yule awapigaye usoni.
-