-
Waefeso 6:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 huku kwa kila namna ya sala na dua mkiendeleza sala kila wakati katika roho. Na kwa lengo hilo fulizeni kuwa macho kwa udumifu wote na kwa dua kwa niaba ya watakatifu wote,
-