-
1 Wathesalonike 2:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Kwa maana nyinyi mlipata kuwa waigaji, akina ndugu, wa makutaniko ya Mungu yaliyo katika Yudea katika muungano na Kristo Yesu, kwa sababu nyinyi pia mlianza kuteseka mikononi mwa wananchi wenzenu wenyewe mambo yaleyale kama yale ambayo wao pia wanateseka mikononi mwa Wayahudi,
-