-
2 Wathesalonike 1:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Tokeo ni kwamba sisi wenyewe twawaonea nyinyi fahari miongoni mwa makutaniko ya Mungu kwa sababu ya uvumilivu wenu na imani katika minyanyaso yenu yote na dhiki mnazohimili.
-